Sunday, 9 June 2013

KILI MUSIC AWARDS-2013,TULIOZOWEA KUWAONA WOTE KAPUNI.

SIKU YA JANA NDIYO ILIKUWA KILELE CHA TUZO KUBWA ZINAZOTAMBULIKA KITAIFA NCHINI TANZANIA,KILLI MUSIC AWARDS-2013.TUKIO LILILOFANA SANA LIKISHEREHESHWA NA MSANII WA MAIGIZO NA MTANGAZAJI WA EA/RADIO & TV,ZEMBWELA,JIPYA ZAIDI KATIKA TUZO ZA MWAKA HUU ZA KILI MUSIC AWARDS,NI KUWEPO KWA SURA MPYA,NIKIONGELEA HILI SI MAANISHI UPYA KATIKA GAME HILI LA MUZIKI,BALI NI UHABA WA KUTOKUWEMO HATA KWENYE KUSHINDANISHWA{NOMINIES},KIUKWELI KWA HILI LIMELETA HAMASA KIASI FULANI KWA WASHIRIKI NA WATANZANIA KWA UJUMLA KURUDISHA IMANI KWA TUZO HIZI AMBAZO ZILIKUWA ZIKILALAMIKIWA NA WENGI IKIWEMO WASANII WENYEWE KUTORIDHIKA NA UTEUZI WA NOMINIES,TUKIELEKEA KWENYE MSINGI WA HABARI YENYEWE HAYA NDIYO MAJINA YA WASHINDI NA CATEGORIES ZAO.
1-WIMBO BORA{KIUME}-Dear GOD-KALLA JEREMIAH,
2-MSANII BORA {KIUME}BONGO FLAVA-DIAMOND,
3-MSANII BORA{KIKE}-LADY JAY DEE
4-MSANII BORA{KIKE}TAARAB-ISHA MASHAUZI.
5-MSANII BORA{KIUME}TAARAB-MZEE YUSUPH
6-MSANII BORA{KIKE}BONGO FLAVA-RECHO,
7-MSANII BORA WA HIPHOP-KALLA JAREMIAH,
8-MSANII BORA{KIUME}BAND-CHARLS BABA.
9-MSANII BORA{KIKE}BAND-LUIZA MBUTU,
10-MSANII ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE,
11-VIDEO BORA YA MWAKA-BAADAE-OMMY DIMPOZ,
12-MTUNZI BORA{TAARAB}-MZEE YUSUPH,
13-MTUNZI BORA{BONGO FLAVA}-BENPOL,
14-MTUNZI BORA{HIPHOP}-KALLA JEREMIAH,
15-MTAYARISHAJI MASHAIRI BORA-MAN WALTER,
16-MTAYARISHAJI MIDUNDO CHIPUKIZI-MESSEN SELEKTA,
17-WIMBO BORA {VIONJO ASLIA}-Chocheeni Kuni-MRISHO MPOTO,
18-WIMBO BORA{BAND}-Risasi Kidole-MASHUJAA MUSICA,
19-WIMBO BORA{REGGAE}-Kilimanjaro-WARRIORS FROM THE EAST,
20-WIMBO BORA{BONGO POP}-Me n You-OMMY DIMPOZ Ft VANNESA MDEE,
21-WIMBO BORA{KUSHIRIKIANA}-Me n You-OMMY DIMPOZ Ft VANNESA MDEE,
22-WIMBO BORA HIPHOP-Nasema Nao-NAY WAMITEGO,
23-WIMBO BORA {RnB}-Kuwa na Subira-RAMA DEE Ft VINEGA,
24-WIMBO BORA {RAGGA}-Predator-DABO,
25-WIMBO BORA{TAARAB}-Mjini Chuo Kikuu-KHADIJA KOPA,
26-WIMBO BORA {ZOUK RUMBHA}-Ni Wewe-AMINI,
27-BAND BORA-MASHUJAA MUSICA,
28-KUNDI BORA{TAARAB}-JAHAZI MORDEN TAARAB,
29-KUNDI BORA{KIZAZI KIPYA}-JAMBO SQUAD,
30-HALL OF FAME{INSTITUTION}-KILIMANJARO BAND,
31-HALL OF FAME{INDIVIDUAL}-SALUM ABDALLAH.


No comments: