Tuesday, 4 June 2013

MWILI WA THE LATE A.MANGWAIR WAWASILI HOSP MUHIMBILI BAADA YA SAFARI ILIYOJAA VURUGU NA VIBWEKA KWA MASHABIKI.

MWILI WA THE LATE ALBERT MANGWAIR UKIWA UMEWASILI HOSPITALI YA RUFAA MUHIMBILI BAADA YA MIKIKI MINGI BJIANI TOKA KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA MSANII HUYO KUTAKA KUHODHI MWILI HUO NJIANI.

No comments: