Monday, 10 June 2013

PICHA ZA MECHI KATI YA TAIFA STARS VS MOROCCO-MARAKECH

BAADHI YA WATANZANIA NA MASHABIKI WA TAIFA STARS WAKIWA JUKWAANI MARAKECH STADIUM KUISHANGILIA STARS JUZI.
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA{TAIFA STARS}KILICHOPAMBANA NA MOROCCO,SIKU YA JUMAMOSI MARAKECH-MOROCCO NA KUFUNGWA MABAO 2-1,PAMBANO LA KUFUZU KUCHEZA KOMBE LA DUNIA-2014{BRAZIL}.


No comments: