MWANAHIPHOP MKONGWE NCHINI MAREKANI JOSEPH ANTONIO CARTAGENA"CLACK THE DON"AMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI MINNE JELA AU FAINI $15,000 NA MAHAKAMA YA NEWARK KWA KOSA LA KUKAHIDI KULIPA KODI YA $3.3MILL ALIZOINGIZA KATIKA SHUGHULI ZAKE,AWALI DESEMBA MWAKA JANA FAT JOE ALINUSURIKA KWENDA JELA BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA KUTOLIPA KODI YA ZAIDI YA $1MILL ALIZOINGIZA KWA MWAKA 2007 & 2008,BAADA YA KUAHIDI KUZILIPA JAMBO AMBALO ALISHINDWA KULITEKELEZA KWA KIPINDI ALICHOPEWA NA MAHAKAMA,MPAKA SASA TAHARIFA ZAIDI KUWA RAPPER HUYO AMEFANIKIWA KULIPA FAINI,HAKUNA ZAIDI YA HUKUMU ILIYOTOLEWA NA MAHAKAMA KUSIMAMA KAMA ILIVYOSOMWA.
No comments:
Post a Comment