|
MUME WA MSANII NGULI WA TAARAB NCHINI BI KHADIJA KOPA,BW JAFARY ALLY ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA MAGOMENI ,WILAYA YA BAGAMOYO MKOANI PWANI AMEZIKWA LEO BAGAMOYO MKOANI PWANI,HIZI NI BAADHI YA PICHA TULIZOKULETEA JUU YA TUKIO ZIMA LA MAZISHI YA BW,JAFARY ALLY MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMEEN. |
|
KHADIJA KOPA AKIHOJIWA NA WATANGAZAJI WA RADIO TIMES. |
KHADIJA KOPA NA DIDA MCHOPS WA TIMES FM.
MTOTO WA RAIS RIDHIWAN KIKWETE {MWENYE KANZU YA NJANO}NI MMOJA KATI YA WALIOSHIRIKI MAZISHI YA BW,JAFARY ALLY LEO BAGAMOYO-PWANI.
No comments:
Post a Comment