HII NI SINGLE MPYA TOKA KWA MSANII MKONGWE WA FILAMU NCHINI BW,CHARLES MAGARI,MAARUFU KAMA MZEE MAGARI,AMBAYE KWA SASA AMEAMUA KUONYESHA KIPAJI KINGINE ZAIDI YA SANAA YA UIGIZAJI KAMA MWANADADA "SNURA"AUNT EZEKIEL,ROSE NDAUKA,WASTARA,WEMA SEPETU NK.
HII HAPA SINGLE YAKE MPYA"DAR RAHA"ISIKILIZE HAPA:-
No comments:
Post a Comment