BLACK RHINO AKIWA NA BABA YAKE MZAZI MZEE HAULE MSIBANI MBEZI MWISHO.
PROFF JAY AKIWA NA BABA YAKE MZAZI MZEE HAULE,SIKU ALIPOWASILI MSIBANI KWA MARA YAKWANZA
MH,MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO{CHADEMA}JOHN MNYIKA ALIPOFIKA MSIBANI JANA KUTOA POLE KWA WAFIWA.
MAZISHI YA MAMA MZAZI WA WASANII WAWILI MAHIRI KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI,PROFF JAY & BLACK RHINO,YATAKUWA LEO,JIJINI DAR ES SALAAM,KWENYE MAKABURI YA KINONDONI,PICHANI JUU NI RATIBA YA MAZISHI IKIJIELEZA VYEMA KILA ATUA KUANZIA NYUMBANI AMBAPO MSIBA UPO-MBEZI MWISHO NYUMBANI KWA MWANAE JOSEPH HAULE"PROFF JAY".HADI MAKABURINI KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment