MAREHEMU IBRAHIM MOHAMEDI PAZI"POSA"{1974-2013}MSANII WA MAIGIZO{COMEDIAN}AMEZIKWA KWAO MZENGA NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM,BAADA YA KUUMWA KWA MUDA NA HATIMAYE KUFARIKI JUZI KWENYE HOSPITALI YA SERIKALI MWANANYAMALA DAR ES SALAAM,MAREHEMU ALITAMBA SANA AKIWA NA KUNDI MAHIRI LINALOTAMBA SANA KWENYE COMEDY BONGO AL-RIYAMY PRODUCTION,AKIWEMO KWENYE MOVIE KAMA WAKE UP,MACHIMBO,NK PIA AMENG'ARA SANA KUPITIA KIPINDI CHA VITUKO SHOW KINACHORUSHWA TELEVISION YA CHANNEL TEN YA JIJINI DAR ES SALAAM,MAREHEMU IBRAHIM MOHAMEDI PAZI"POSA" AMEACHA MCHUMBA{BI SAUMU} NA MTOTO MCHANGA{REHEMA}-UMRI*MIEZI 3,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MSIBA MPAKA MAZISHI KWAO MZENGA.
No comments:
Post a Comment