MH MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO JOHN MNYIKA AKIWA NA MSANII PROFF JAY LEO MSIBANI MBEZI MWISHO,WAKATI WA IBADA YA KUUSALIA MWILI WA MAREHEMU.
GARI LITAKALOBEBA MWILI WA MAMA ROSEMARY MAJANJALA,MAMA MZAZI WA PROFF JAY NA BLACK RHINO.
WATU WAKIWA WAMEKUSANYIKA NYUMBANI KWA MSANII PROFF JAY ,TAYARI KABISA KWA TUKIO LA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU MAMA MAJANJALA LEO MCHANA.
No comments:
Post a Comment