Saturday, 13 July 2013

PENZI LA FEZA KESSY{TANZANIA}NA OR'NEAL {BOTSWANA}LAZIDI KUWA GUMZO BBA.

MWANADADA FEZA KESSY MSHIRIKI WA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA{TANZANIA}KWA SASA YUKO KWENYE PENZI ZITO NA LENYE HUBA TOKA KWA OR'NEAL,BROTHER TOKA NCHINI BOTSWANA,OR'NEAL NA FEZA KESSY WALIFIKIA KUVISHANA PETE YA UCHUMBA WIKI KADHAA ZILIZOPITA NA KUFANYA MUELEKEO WA PENZI LAO,KUENDELEA KUWA HAI KILA IITWAPO LEO,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIWAONYESHA FEZA NA OR'NEAL WAKIWA KWENYE HUBA ZITO LA PENZI LAO.

No comments: