MSANII MAHIRI NA MKONGWE KWA UPANDE WA AKINA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI NCHINI LUCY KOMBA,AMBAYE KWA SASA ANATAMBA NA FILAMU YAKE MPYA "MWISHO WA SIKU"ALIYOWASHIRIKISHA,VICTOR MWIKALA,JENIFA KAKOLAKI NA MKONGWE MWENZIE KWA UPANDE WA AKINA DADA YVONE CHERRY{MONALISA},KUPITIA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK BI DADA HUYU,AMENOGESHA KIDOGO MASHABIKI WAKE,AKIWATAKA WAKAE MKAO WA KULA KWA UJIO WA FILAMU YAKE NYINGINE MPYA,AKIWA NA MCHEZAJI SOKA MAARUFU KATIKA UKANDA HUU WA AFRICA MASHARIKI NA KATI,MKALI HAMAD NDIKUMANA a.k.a KATAUTI,MUME WA MSANII MWINGINE MAHIRI KATIKA TASNIA HII YA FILAMU NCHINI BIBIE "IRENE UWOYA"-MAMA KRISH,FILAMU ITAKAYOJULIKANA KWA JINA LA "KWANINI NISIMUOE",FILAMU INAYOONYESHA ADHA ANAYOIPATA MUME WA DADA ALIYEBEBA UJAUZITO NA ADHA ZOTE ZA UJAUZITO KUZIBEBA MUME HUYO MPAKA SIKU MKEWE ALIPOJIFUNGUA,FILAMU INAYOTARAJIWA KUTOLEWA CHINI YA KAMPUNI YA POYAGA PRODUCTION,HUU NDIYO MUONEKANO WA COVER YA FILAMU HIYO MPYA,
NB:-STORY ILIYOTUMIKA KATIKA FILAMU HII NI HISTORIA YA KWELI KABISA,AKIIZUNGUMZIA FILAMU HII LUCY KOMBA AMEWATAKA WADAU NA WAPENZI WA FILAMU ZA KITANZANIA WATEGEMEE KITU KIZURI NA TOFAUTI KIDOGO,HII NI KUTOKANA NA KIPAJI TOFAUTI KILICHOONYESHWA NA NDIKUMANA a.k.a KATAUTI NDANI YA FILAMU HII.
No comments:
Post a Comment