MAREHEMU ERASTO MSUYA MUDA MFUPI BAADA YA KUPIGWA RISASI.
MFANYABIASHARA MAARUFU WA MADINI NA MMILIKI WA SG RESORT MERERANI ARUSHA BW ERASTO MSUYA AMEPIGWA RISASI NA KUFA NDANI YA GARI LAKE AINA YA VOGUE,MAENEO YA MERERANI MUDA MFUPI ULIOPITA AKIELEKEA MOSHI,SABABU ZA KIFO NA NINI KINAHUSISHWA NA KIFO HICHO AZIJAJULIKANA,POLISI WANAENDELEA NA UCHUNGUZI ZAIDI.PICHANI NI GARI ALILOKUWEMO BW,ERASTO MSUYA AMBAPO NDIPO ALIPOPIGIWA RISASI.
MAREHEMU ERASTO MSUYA,MUDA MFUPI BAADA YAKUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA.
No comments:
Post a Comment