Thursday, 15 August 2013

VIDEO MBILI ZA MAPOKEZI YA MSHIRIKI WA BBA-THE CHASE {TANZANIA},"FEZA KESI AIRPORT YA DAR ES SALAAM.

FEZA KESI AKIWA NA MTOTO WA DADAAKE,SAIDA KESI,SEAN LYIMO,MUDA MFUPI BAADA YA KUSHUKA KWENYE NDEGE AKITOA NCHINI AFRICA YA KUSINI,ALIKOKUWA AKIIWAKILISHA TANZANIA KWENYE SHINDANO LA BIG BROTHER CHASE-2013.

*SAIDA KESI NA MWANAE SEAN LYIMO WAKIMPOKEA BIBIE FEZA KESI-AIRPORT JIJINI,DAR ES SALAAM.

No comments: