 |
| MSANII EMINEM JUZI ALIPIGA SHOW LA HATARI,HII ILIKUWA KWENYE SIKU YA KWANZA AMA YA UFUNGUZI WA TUZO ZA YOUTUBE{YOUTUBE MUSIC AWARDS-{YTMA},AMBAPO SHANGWE ZA HATARI ZILISIKIKA BAADA YA RAPPER HUYO BORA KATIKA TUZO ZA BILLBOARD ZA MWAKA JANA KUITAMBULISHA RASMI KWA MARA YA KWANZA SINGLE YAKE MPYA "RAP GOD"SINGLE INAYOPATIKANA KWENYE ALBAM YAKE MPYA YA "SURVIVAL"ALIYOITOA HIVI KARIBUNI.HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA SHOW HIYO:- |
|
NB:-HII HAPA NI VIDEO YA SHOW YAKE HIYO:-
No comments:
Post a Comment