![]() |
| MBUNGE WA KAWE{CHADEMA}HALIMA MDEE AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA WILAYA YA MTIBWA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI M4C PAMOJA DAIMA WILAYANI HUMO. |
![]() |
| MWENYEKITI{CHADEMA}TAIFA BW,FREEMAN MBOWE AKIMTAMBULISHA MSANII AFANDE SELE{CHADEMA}KWA WAKAZI WA KATA YA TUNGI,KWENYE MKUTANO WA KAMPENI M4C. |
![]() |
| MWENYEKITI{CHADEMA}TAIFA Bw,FREEMAN MBOWE NA MBUNGE WA KAWE{CHADEMA}HALIMA MDEE WAKIONDOKA BAADA YA KUHUTUBIA WAKAZI WA WILAYA YA IFAKARA KWENYE OPERESHENI M4C WILAYANI HUMO. |
![]() |
| MWENYEKITI{CHADEMA}TAIFA Bw,FREEMAN MBOWE AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA WILAYA YA IFAKARA KWENYE OPERESHENI M4C WILAYANI HUMO. |
![]() |
| WAKAZI WA WILAYA YA IFAKARA WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI{CHADEMA}TAIFA Bw,FREEMAN MBOWE HUKU WAKIWA WAMEBEBA MABANGO. |
![]() |
| WAKAZI WA WILAYA YA IFAKARA WAKITAWANYIKA BAADA YA KUMSIKILIZA MWENYEKITI{CHADEMA}TAIFA Bw,FREEMAN MBOWE KWENYE OPERESHENI M4C WILAYANI IFAKARA. |







No comments:
Post a Comment