MKOSI UMEENDELEA NDANI YA KLABU KONGWE NCHINI UINGEREZA MANCHESTER UNITED BAADA YA JANA KUSHINDWA KUINGIA HATUA YA FAINALI KATIKA KOMBE LA CAPITAL ONE CUP KWA IDADI YA MABAO 2 KWA 1 LA PENATI.
MANCHESTER UNITED WALIONYESHA MUONEKANO WA MAFANIKIO YA USHINDI KWA SIKU YA JANA BAADA YA USHINDI WA GOLI MOJA LA KWAO LILILOONYESHA KUTAKA KUMALIZA UTATA JAPO MAKOSA YA GOLIKIPA DAVID DE GEA KUWAFANYA SUNDERLAND KUSAWAZISHA GOLI HILO DAKIKA MBILI KABLA MPIRA KUISHA KUPITIA STRAIKA WAO PHIL BARDSLEY,
DAKIKA CHACHE TENA MAN UNITED WALIKANDAMIZA BAO JINGINE KUPITIA STRAIKA WAO JANVIER HERNANDEZ NA KUSABABISHA UBAO WA MAGOLI KUSOMEKA MAN UNITED 2-SUNDERLAND 1,
IDADI YA MAGOLI KUFUNGANA KUTOKANA NA MAHESABU YA GOLI LA UGENINI YALISABABISHA,MECHI KUINGIA KWENYE HATUA YA KUPIGIANA PENATI BAADA YA MAGOLI KUONYESHA KUFUNGANA 3-3,
HATUA YA PENATI NDIYO ILIYOKUWA KITANZI KWA MANCHESTER UNITED BAADA YA WACHEZAJI WAKE DANNY WELBECK,ADNAN JANUZAJ,PHIL JONES & RAFAEL DA SILVER KUKOSA PENATI ZAO
NB:-ANGALIA MAGOLI YOTE YA PAMBANO HILI HAPA>>>

No comments:
Post a Comment