Friday, 14 February 2014

BRAND NEW SONG BY MAUA SAMA-MOTIVATION{COVER}Feat NADO.

"MAUA SAMA" NI KIPAJI KILICHOVUMBULIWA NA RAPPER "MWANA FA",PIA KAZI ZAKE ZA MUZIKI ZINASIMAMIWA NA "MWANA FA",HII NI SINGO YAKE NYINGINE ANAYOONYESHA UWEZO WAKE MKUBWA WA KUIMBA VIZURI CODE ZA JUU,KWA KUIRUDIA SINGO YA MWANADADA "KELLY ROWLAND"-MOTIVATION,AKIWA AMEMSHIRIKISHA "NADO" KWENYE KIPANDE CHA RAP ILIYOMO KWENYE NGOMA HII,
Waweza Kuisikiliza Hapo Chini,

No comments: