NI USHIRIKIANO WA WASANII WAWILI WA MUZIKI WA INJILI AFRICA YA MASHARIKI,
"CHRISTINA SHUSHO"{TZ}NA GERALDINE ODUOR{KENYA}KATIKA ALBAM YAO YA PAMOJA WALIYOIITA {NENO LAKO},
-SINGO HII NNAYOTAKA UIANGALIE INAITWA "NAPENDA"NI NYIMBO INAYOSIFU UKUU WA MUNGU,IKIWA IMEBEBA MIDUNDO YA TARATIBU{ZOUK}PAMOJA NA MASHAHIRI YALIYOWEKWA KWENYE SAUTI NZURI ZA WATUMISHI WA MUNGU"CHRISTINA SHUSHO" NA "GERALDINE ODUOR",
IANGALIE HAPO CHINI,

No comments:
Post a Comment