Saturday, 22 February 2014

Joseph Nyuki - Sidanganyiki

JOSEPH NYUKI"SUPER NYUKI"AKIWA AMEMSHIRIKISHA "UPENDO NKONE" KWENYE KIITIKIO{CHORUS}YA SINGO"SIDANGANYIKI",HILI NI SEBENE LA YESU,HUKU VIDEO YA WIMBO HUU IKIWA IMEPENDEZESHWA VIZURI NA STYLE ZA UCHEZAJI WAKE "SUPER NYUKI"JAMBO LINALOWASHANGAZA WENGI NA KUMRUDISHIA MUNGU UTUKUFU HASWA KWA JINSI ALIVYO NA KILEMA CHA MKONO.
IANGALIE VIDEO HIYO HAPO CHINI,

No comments: