MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Winfrida Joseph a.k.a Recho
aliangusha bethidei yake ya kutimiza miaka 24 katika ukumbi wa Business
Park wilaya ya Kinondoni hivi karibuni ambapo wasanii wengi walihudhuria
na kufaidi kila aina ya vinywaji na mapochopocho, idadi yao kubwa kwa
upande wa wanawake wakiwa wamevaa mavazi yaliyowafanya kutoka nusu uchi.
Recho & Linah |
Winifrida Joseph a.k.a Recho akikata Keki. |
No comments:
Post a Comment