MSANII PIPI ALIYEWAHI KUTAMBA SANA AKIWA NDANI YA NYUMBA YA KUKUZIA VIPAJI"THE TANZANIA HOUSE OF TALENT{THT}"AMEBARIKIWA KUPATA MTOTO WAKE WA PILI WA KIUME,PIPI AMBAYE KWA SASA NI MKE WA JAMAA ANAYEJULIKANA KWA JINA LA LUCAS ZURIA,AMEJIFUNGUA MTOTO WAKE HUYO USIKU WA KUAMKIA LEO KWENYE HOSPITALI YA DR HERBERT KARIUKI MIKOCHENI ,
KWA BARAKA HIZO PIPI AMEFIKIA KUWA NA WATOTO WAWILI HIVI SASA,HII NI BAADA YA AWALI KUJIFUNGUA TENA MTOTO WA KIUME WALIYEMPA JINA LA KINGSTON,
KUPITIA ACC YAKE YA FACEBOOK NA INSTAGRAM PIPI AMEONYESHA FURAHA YAKE HIYO KWA KUANDIKA MANENO HAYA:-Nina furaha mpaka sijui nisemeje maana nnaweza kuandika hata ESSAY ....lakini kwa ufupi tu namshukuru MUNGU kwa kunipa nguvu....na mume wangu kipenzi kunipa ujasiri wa kuleta jembe la pili....ASSET kubwa kuliko zote duniani asikwambie mtu....WELCOME to the familly baby BRANDON"

![]() |
| PICHA YA MTOTO WA PIPI BABY"BRANDON" |

No comments:
Post a Comment