Video ya wimbo wa Shakira ‘Cant Remember to Forget You’ aliyompa shavu
mwimbaji mwenzake wa Caribbean, Rihanna imekosolewa vikali na mwanasiasa
mmoja nchini Colombia anayefahamika kwa jina la Marco Fidel Ramirez,
akidai kuwa kinyume cha maadili na hivyo kuwaharibu watoto wadogo.
Marco Fidel, ameiomba serikali ya Colombia kuipiga marufuku video hiyo ama vipande vya video hiyo ambavyo amedai kuwa vinasapoti usagaji, uvutaji sigara na mauaji.
“Our Shakira with her erotic video is promoting tobacco usage and has become the wost example for our youth.” Alitweet mwanasiasa huyo kutoka Bogota, Colombia.
“Shakira’s new video is a shameless case for lesbianism and immorality. It is a danger to children. It sends a provocative message to weak people who can be polluted and inducet to practice lesbianism.” Aliongeza katika tweet nyingine.
NB:-KAMA HUKUFANIKIWA KUIONA VIDEO HIYO IANGALIE HAPO CHINI,

No comments:
Post a Comment