RAPPER WAKAZI TOKA {TZ}AMETOA CONTROL VERSE,IKIWA KWENYE STYLE YA MITINDO HURU{FREESTYLE}SINGO INAYOJARIBU KUWEKA SAWA MFUMO MZIMA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI,AKIWAGUSA WASANII,WADAU NA MUZIKI WENYEWE KWA UJUMLA,PIA SINGO HII NI UTANGULIZI WA UJIO WA ALBAM YAKE ALIYOIPA JINA LA ABACUS EP,KATIKA UTARATIBU WA KUIACHIA SINGO HII WAKAZI AMEZUIA SINGO HII ISICHEZWE REDIONI" “This is just another freestyle song by Wakazi released as a teaser
before the release of his abacus EP and his brand new singles also
slated for end of the month release. In here Wakazi is trading bars
& punchlines which seem to be warning shots to fellow emcees who
thought he was done and had sold out.” – Wakazi.
ISIKILIZE HAPA,
***PIA UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO YA SINGO HIYO HAPA,
ISIKILIZE HAPA,

No comments:
Post a Comment