BAADA YA KIMYA KIREFU KATIKA FILAMU,MISS{TZ}2006 WEMA ABRAHAM SEPETU ANATARAJIA KUACHIA FILAMU YAKE MPYA ALIYOIPA JINA LA "MADAME",
KATIKA FILAMU HII MADAM WEMA SEPETU AMEWASHIRIKISHA SIMON .J.MWAPAGATA,MAULID ALLY,SUDI ALLY NA YEYE MWENYEWE WEMA SEPETU ,
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA WAKATI WA UCHUKUAJI FILAMU HIYO,
ANGALIA {TRAILER}YA MOVIE HIYO HAPO CHINI,

No comments:
Post a Comment