Saturday, 22 March 2014

HOTUBA YA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO{TZ} Dkt J.M.KIKWETE MBELE YA BUNGE LA KATIBA 21 March 2014.

 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA  Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania; Mheshimiwa Dkt. !li Mohamed Shein, Rais wa "anibar na Mwenyekiti wa Baraa la  Ma#indui; Mheshimiwa Miengo $eter $inda, %airi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania; Mheshimiwa Maalim Sei& Shari& 'amad, Makamu wa Kwana wa "anibar  Mheshimiwa !nne Semamba Makinda; S#ika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; Mheshimiwa $andu !meir Ki&i)ho, S#ika wa Baraa la %awakilishi na Mwenyekiti wa  Muda wa Bunge Maalum la Katiba ; Mheshimiwa Rashid *thman +hande, Jai Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania; Mheshimiwa *thman Makungu, Jai Mkuu wa "anibar;-iongoi %akuu %astaa&u;%aheshimiwa %aumbe wa Bunge Maalum la Katiba;%aheshimiwa %aumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;%ageni waalikwa; Mabibi na Mabwana;Nashukuru kwa kunipa fursa ya kuja kuzungumza na Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge letu Maalum la Katiba katika siku hii muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu. Nimekuja kuwatakia heri na naungana na Watanzania wenzetu wote kuwaombea baraka za Mwenyezi Mungu, ili muweze kuifanya kazi yenu kwa utulivu, hekima, umakini mkubwa na kuimaliza kwa salama na kwa mafanikio yanayoyatarajiwa na Watanzania.  Natoa pongezi nyingi kwako na kwa Makamu wako kwa kuchaguliwa kwenu kuongoza Bunge hili maalumu na la kihistoria. ushindi mkubwa mliopata ni kielelezo tosha cha imani kubwa na matumaini waliyonayo Wajumbe wenzenu kwenu. Matumaini yao ndiyo matumaini  ya watanzania wote kuwa mtaliongoza vyema Bunge hili ili liweze kutimiza kwa ufanisi mkubwa Lengo lake muhimu sana kwenye historia ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Aliianza Hotuba yake hivyo,
UNAWEZA KUIANGALIA HOTUBA YENYEWE HAPO CHINI, 








No comments: