Rapper wa kike na maarufu Africa Mashariki Nazizi aka The First Lady{Kenya}ametengana na mume wake aliyedumu naye kwa miaka mitano kwenye Ndoa .
Chanzo cha habari hii kinasema
kuwa Nazizi alisema haya Jumanne iliyopita kwenye mahojiano na Chillax
kuwa ametengana na mume wake huyo kwa muda wa takribani mwaka moja sasa na anachokifanya kwa sasa nikufuatilia
talaka yake.
Taarifa zingine zinasema kuwa mume wa Nazizi Anayejulikana kwa jina la “Vinny” amerudi Nyumbani kwao nchini Tanzania kwa sasa .
Nazizi ni memba wa Kundi la "Necessary Noize" na "East African Bashment Crew"alifunga ndoa na Vinny mjini Nairobi kabla ya kuhamia Mkoani Lamu mwaka 2011 walikoanzia Maisha, pia Nazizi na Vinny wamebarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.
Kwa hivi sasa Nazizi anaishi Nairobi karibu na familia yake.
NAZIZI & MUMEWE. |
Taarifa zingine zinasema kuwa mume wa Nazizi Anayejulikana kwa jina la “Vinny” amerudi Nyumbani kwao nchini Tanzania kwa sasa .
NECCESARY NOISE. |
Nazizi ni memba wa Kundi la "Necessary Noize" na "East African Bashment Crew"alifunga ndoa na Vinny mjini Nairobi kabla ya kuhamia Mkoani Lamu mwaka 2011 walikoanzia Maisha, pia Nazizi na Vinny wamebarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.
NAZIZI NA MWANAE. |
Kwa hivi sasa Nazizi anaishi Nairobi karibu na familia yake.
No comments:
Post a Comment