BAADA YA VIDEO YAKE MPYA YA WIMBO NIMEVURUGWA KUFUNGIWA NA BARAZA LA SANAA LA TAIFA{BASATA}KUTOKANA PICHA ZILIZOPIGWA KWENYE VIDEO KUWA NJE YA MAADILI YA KITANZANIA MWANADADA SNURA MUSHI YUKO CHIMBO AKIKAMILISHA VIDEO YA SINGO YAKE NYINGINE MPYA"USHAHARIBU"VIDEO INAYOCHUKULIWA NA KAMPUNI YA "AJ-PRODUCTION|"ILIYOCHINI YA DIRECTOR MKONGWE KWA VIDEO ZA MUZIKI BONGO,ADAM JUMA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA KWENYE UCHUKUAJI WA KICHUPA HICHO, |
No comments:
Post a Comment