Mshambulizi wa Manchester United Robin van Persie amesema kuwa yuko tayari kuongeza muda wa mkataba wake.Kuichezea klabu hiyo
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka thelathini
amekuwa akihusishwa na madai ya kutaka kuihama klabu hiyo kwa kuwa hana
uhusiano mwema na kocha wake David Moyes pia kumekuwa na fununu kuwa
huenda Van Persie akaondoka mwishoni mwa msimu huu.Lakini mchezaji huyo kutoka Uholanzi amesema mwenyewe kuwa anaridhika kucheza chini ya Moyes.na ataendelea kubaki Man United.
No comments:
Post a Comment