Saturday, 19 April 2014

BRAND NEW SONG BY FIRST GODFREY Feat KALLA JEREMIAH-Suprise

Toka Kwa"first godfrey"- hii ni ngoma yangu ya kwanza baada ya kumaliza shindano la EBSS Bongo Star Search 2013 imetoka rasmi mtandaoni na kwenye vituo mbalimbali vya matangazo/habari nimeamua kufanya nyimbo hii na kalla jeremiah kwa sababu 1,ni mtu ambaye ananivutia kwa flow yake pia 2, anaelewa anafanya nini kwenye game hii ya sasa 3,wote ni washiriki wa (EBSS) Bongo star Search mpaka sasa hakuna washiriki waliokaa na kufanya nyimbo moja kwa pamoja;
jina la nyimbo inaitwa; Suprise
majina ya waimbaji;Ni first godfrey ft kalla jeremiah
producer; C91
studio;Spirity


No comments: