Tuesday, 1 April 2014

Cocoa & Chocolate Ya ONE-Eight KUZINDULIWA {NIGERIA}

Zaidi ya wasanii watano kati ya 19 waliojumuika Pamoja kutengeneza wimbo ulio kwenye {video & Audio}"Cocoa na Chocolate" Nyimbo kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana , wamekutana jijini Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo, huku tukio hilo likihudhuriwa pia na watagazaji mbali mbali kutoka mchi mbalimbali Africa akiwemo Mtangazaji Fatuma Hassan a.k.a Dj Fetty- Fettylicious Fe;eh. Zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D'Banj na Femi Kuti (Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengineo walikutana nchni south Africa miezi kadhaa iliyopita na kutengenea singo hiyo kwa pamoja Wimbo unaohamasisha vijana kujihusisha na maswala ya kilimo na kuwaambia vijana wa kiafrica kuwa maisha yao ya baadae yako chini ya miguu yao wenyewe na katika mikono yao wenyewe. Video hiyo imeshakamilika na alhamis ya wiki hii itaonyeshwa katika TV station Mbali mbali Africa
Isikilize Singo Hiyo hapo chini,

.
NB:-PIA WAWEZA KUIANGALIA "TRAILER"YA VIDEO YAKE HAPO CHINI, Nineteen of the top recording artists from across Africa, including D'Banj and Femi Kuti from Nigeria, DR Congo's Fally Ipupa, Cote d'Ivoire's Tiken Jah Fakoly, Kenya's Juliani, and South Africa's Judith Sephuma, have come together to help rebrand agriculture and tell African youth that their future lies literally beneath their feet—and in their hands.

No comments: