Friday, 25 April 2014

SAKATA LA MSANII CHIDI BENZ KUMTEMBEZEA KICHAPO DEMU BAR.

Fuatilia Sakata zima lililotokea kipindi cha sikukuu ya Pasaka ambapo msanii Chidi Beenz"Chuma"alimtembezea Kichapo binti mmoja {Mwanaisha Kiboye}
kwenye baa moja maeneo ya Ilala-buguruni jijini Dar es salaam na kumsababishia maumivu makali ikiwemo kushonwa nyuzi kadhaa sehemu ya mdomoni,

kutokana na timbwili hilo msanii Chidi Benz amefikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Ilala-Pangani,akisomewa mashitaka mawili la kujeruhi na la kukutwa na Bangi,japo Chidi mwenyewe amekana mashtaka yote mawili na mpaka tunaandika Habari hii msanii Chidi Benz ameachiwa na Mahakama hiyo
 kwa dhamana mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena,
Fuatilia habari nzima hapo chini,

No comments: