Friday, 25 April 2014

UJIO MPYA WA MSANII OMMY DIMPOZ.

 Msanii Ommy Dimpoz a.k.a Poz kwa poz ameamua kuwaonjesha kionjo cha wimbo wake mpya unaofuatia ambao video yake imefanywa nchini Marekani na producer mkali nchini humo. Kupitia Account yake ya Instagram Ommy dimpoz ameweka kionjo cha Video aliyojirekodi akiuimba wimbo huo huku akisisitiza kwa kusema kuwa huo ndiyo wimbo wake unaofuata unaosubiriwa na Mashabiki wake pamoja na Wapenzi wa Muziki wa Bongo fleva Kwa Hamu Kubwa
Iangalie video hiyo hapo chini,

No comments: