![]() |
Askari kanzu akitanua njia wakati Mhando (mwenye shati jeupe) akipelekwa kizimbani. |
![]() |
Mhando (kushoto) na wenzake wakitoka mahakamani. |
Katika kesi hiyo iliyosomwa na Wakili wa Serikali, Leonard Swai, mbele ya Hakimu Frank Mushi, wakili huyo alisema Mhando akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco anatuhumiwa kumpa tenda mamsap wake ya kusambaza vifaa vya stationery vyenye thamani ya shilingi milioni 884,550,000/ kwa shirika hilo kinyume na taratibu.
![]() |
Mke wa Mhando (kushoto) na mwenzake wakirudishwa mahabusu. |
![]() |
Waliounganishwa kwenye kesi hiyo nao wakishuka kizimbani chini ya ulinzi mkali. |
No comments:
Post a Comment