Saturday, 10 May 2014

Vee Money, Angel, Alice, Maua Sama na Meninah wakiimba kwenye KTMA 2014{VIDEO}

BINAFSI NAWEZA KUSEMA HII NI SHOW KALI KULIKO ZOTE ILIYOPIGWA KWA MTINDO WA LIVE,KWENYE TUZO ZA KILI MUZIKI AWARDS 2014-KTMA,SHOW
 ILIYOWASHIRIKISHA WADADA VANESSA MDEE,ANGEL,ALICE,MAUA SAMA NA MENINAH WASANII WALIOFANYA VIZURI SANA KWENYE SHOW HII,WAKIIMBA HITS ZILIZOTAMBA SANA KUTOKA KWA WASANII WAKIUME WA BONGO{BONGO FLEVA},
IANGALIE SHOW YENYEWE HAPO CHINI

No comments: