Tuesday, 10 June 2014

PICHA-JINSI MAMA REGINA LOWASSA ALIVYOSHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 60 JANA.

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika Jana nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam.


Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.

Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.


Wajukuu wakimpongeza Bibi yao.




Watoto wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa,Adda (kushoto) na Pamela Lowassa wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza miaka 60 ya kuzaliwa kwake.

Adda akiimba kwa hisia kali.



Mh,Waziri Mkuu Mstaafu Bw,Edaward Lowassa.

Mama Regina Lowassa akikata keki.


Mama Regina Lowassa akimlisha Keki Mumewe,Mh. Edward Lowassa

Mh. Lowassa nae akimlisha keki Mkewe.
Mama Regina Lowassa akiwalisha Keki wajukuu zake.

Muda wa kufungua Shampein ukawadia.








No comments: