Muigizaji
mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki
dunia usiku wa leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar.
Taarifa zinadai kuwa Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda
mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Hospitali Ya Taifa Muhimbili. Mtoto wa marehemu
aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Baba yake{Mzee Small}
. **MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI.***
![]() |
Marehemu Mzee Small akiwa na Familia yake enzi za uhai wake. |
No comments:
Post a Comment