Monday, 16 June 2014

WORLD CUP 2014{BRAZIL}-GERMAN YAIBUGIZA URENO 4-O

20:52 Mpira umekwisha .Ujerumani 4-0 Ureno
2051: Freekick kuelekea lango la Ujerumani.
20:48 Thomas Müller ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika kombe la dunia huko Brazil
Mfungaji mabao matatu ya Ujerumani Thomas Müller

20:48 Lukas Podolski achukua nafasi yake Thomas Müller
20:39 Matokeo kufikia sasa Ujerumani 4 - 0 Ureno
20:38 Thomas Mueller anafurukuta nipenikupe kwenye lango la Ureno na kufuma mpira uliotemwa na kipa wa Ujerumani
20:38 Ujerumani yafunga bao la 4
20:38 BAOOOOOOO la $
20:36 Ronaldo amlalamikia vikali refarii kuwa anapaswa kuwepa penalti lakini reafri haskii lolote anasema mpira uendelee
20:35 Ronaldo aishambulia lango la Ujerumai lakini mkwaju wake unapanguliwa .
20:32 Ureno ikiongozwa na Christiano Ronaldo hawana jibu ya nipe nikupe ya Ujerumani.

Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 3-0 20:32 20:31 Dakika ya 70 Ujerumani 3-0 Ureno
Kisa kilichompelekea pepe kuoneshwa kadi nyekundu awali katika mechi hii

20:22 Matokeo kufikia sasa dakika ya 60 ya kipindi cha pili Ujerumani 3-0 Ureno.
20:21 Mesut Ozil apumzishwa nafasi yake inachukuliwa na Andres
Mashabiki wa GERMAN wakishangilia ushindi mnono dhidi ya URENO.


Germany vs Portugal 4-0 Goals and Highlights FIFA World Cup 2014

No comments: