Siku za Karibuni wasanii Rehema Chalamila "Ray C" & Khaleed Mohamed "T.I.D waliingia kwenye mzozo kwa kupishana kauli mtandaoni Instagram,
Chanzo cha mtafuruku huu ulianzia pale ambapo msanii T.I.D alipokuja juu na kutoa kauli chafu na za kebehi kwa mwenzie "Ray C" hii ni baada ya Ray C kucoment kwenye POST ya T.I.D iliyokuwa ikihusiana na utambulisho wa Remix ya Singo yake ya "Asha" iliyofanywa chini ya Producer Lamar katika Project yake ya Refix,
Kutokana kauli hiyo ya T.I.D,Ray C amefunguka kama ifuatavyo........Namnukuu....
"Hi everyone..Asanteni kwa maombi yenu Mama anaendelea vizuri Mungu ni mwema,Nakuhusu @T.I.D Mnyama nimeona Post asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria ...anyway nakuombea kwa Mungu akuepushe na Majanga ya dunia ubarikiwe sana Babaa"....alimalizia Ray C.

No comments:
Post a Comment