DJ OMMY “RESPECT THE DJ NON-STOP MIXX”
KUTOKA KWA DJ OMMY"
Naendelea
na utaratibu wangu wa kutoa Non Stop Mixx zangu za kila mwezi kwa
mashabiki wangu dunia nzima.Na safari hii nawapa zawadi ya sikukuu ya
EID “RESPECT THE DJ NON-STOP MIXX” ambayo unaweza kuskiza,kudownload na
kushare na marafiki popote pale ulipo kupitia Tablet,Computer au
SmartPhone yako."
Non-Stop Mixx hii nimeipa jina la “RESPECT THE DJ MIXX” ili kurudisha na
kukumbusha watu heshima na umuhimu wa Dj katika muziki kumbuka
tunawaburudisha kupitia vipindi vya radio, Club na Non-Stop Mixx kama
hizi. So Enjoy na kuburudika na Non Stop hii huku ukitafakari umuhimu wa
DJ.
ISIKILIZE HAPO CHINI:-
No comments:
Post a Comment