Wednesday, 23 July 2014

POLISI NCHINI{TZ}WANAWASHIKILIA WATU WANANE KUHUSIANA NA KUKAMATWA VIUNGO VYA BINADAM JIJINI{D.S.M} JUZI.

Suleiman Kova
Polisi nchini Tanzania inawashikilia watu wanane kuhusiana na kupatikana kwa viungo vya miili ya binaadam jijini Dar es Salaam juzi usiku. Kamanda wa polisi wa Dar es salaam, Suleiman Kova amesema watu hao wanane ni kutoka Taasisi ya mafunzo ya Tiba (IMTU). Kova amesema miili hiyo ambayo ilikuwa imefichwa kwenye mifuko 85 ya plastiki, sasa imepelekwa katika hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa na kufanyiwa uchunguzi zaidi
VIDEO-Kamishna wa Polisi Kanda Maalum{D.S.M}Suleiman Kova akiliongelea hilo,

COMMISSIONER OF POLICE SULEIMAN KOVA ON DUMPED HUMAN BODY PARTS


 

No comments: