RAIS WA BRAZIL ATAKA WANANCHI KUWA 'NGANGARI'
Rais wa Brazil Dilma Rousselff ameitaka nchi yake 'kujinyanyua' baada ya kichapo cha mabao 7-1 dhidi ya Ujerumani katika Kombe la Dunia.
"Kama Wabrazil wote, nimesikitishwa sana sana baada ya kufungwa. Lakini hatutosononeka," rais huyo ame - tweet.
Kocha wa Brazil Luiz Filipe Scolari amesema kupoteza mchezo huo ilikuwa "siku yake mbaya zaidi maishani mwake".
Vyombo vya habari vya Brazil vimeandika habari za jinsi watu walivyopokea mshtuko huo wa matokeo siku ya Jumatano, vikieleza matokeo hayo kuwa ni "udhalilishwaji wa kihistoria".
Matokeo hayo ni mabaya zaidi katika historia ya Brazil katika Kombe la Dunia.

![]() |
Watu wengi nchini Brazil wameyapokea matokeo ya jana kwa majonzi makubwa tofauti na matarajio yao. |
No comments:
Post a Comment