Thursday, 7 August 2014

KAULI YA SPIKA WA BUNGE LA KATIBA TANZANIA YAWAKANGANYA WANANCHI.

Spika Bw,Samwel Sitta.
Spika wa BMK Mh,Samwel Sitta ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano kuhusu Katiba mpya.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
MAONI
-Bw,Basebo...."Hatufai hata kidogo. Kauli ya kibabe wakati katiba ni ya wananchi na wanapaswa kuijadili kwa kina."
-Mr,Ngosha...."Ameniboa sana, Uhuru wa vyombo vya habari uko shakani"
-Mr,Ngongo....."Nilidhani uzee unaendana na hekma kumbe sivyo Sitta pamoja na uzee wake bado ana akili kama za mtu wa miaka 12."
-Mrs,Benard Luoga....."Mwisho wake wakufikiri kumbuka kauli ya Prof. Kabudi jana akimlinganisha na Kificho ambaye yeye ana Diploma tu ya sheria"
-Mbongo....."Ubabaishaji hautaisha mpaka uccm ukomeshwe.. kusema sema kwa ubabe kama wao ni sheria kutakwisha. wao ni chama cha mapinduzi ndio maana wanapindua pindua mambo."
NB-JE WEWE UNA LIPI LAKUCHANGIA JUU YA HILI,
TOA MAONI YAKO KUPITIA AKAUNTI YETU YA FACEBOOK HAPA>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo 

No comments: