Monday, 4 August 2014

MUIGIZAJI EMMANUEL MYAMBA"PASTOR MYAMBA"AFUNGA NDOA RASMI.


Pastor Myamba na Mkewe wakionyesha Maburungutu ya Fedha za Kitanzania Sh,Mil 250 walizozawadiwa.
Harusi ya Muigizaji Daraja la Kwanza nchini Tanzania,EMMANUEL MYAMBA,maarufu kama Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania iliyovunja Rekodi kwa Maharusi kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba aliyefunga ndoa Visiwani Zanzibar mwishoni mwa wiki hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni ya Kitanzania likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Katika Harusi iliyohudhuriwa na watu wengi maarufu wakiwemo Mastaa mbalimbali wa Filamu nchini.
Mr,&Mrs Myamba.

No comments: