Thursday, 25 September 2014

Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS nchini Syria


Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotekeleza na kufanikisha mashambulizi ya kwanza nchini Syria dhidi ya kundi linalojiita Islamic State Of Syria and Iraq (ISIS). September 23 jeshi la Marekani lilitekeleza mashambulizi ya anga katika makao makuu ya kundi hilo Ar Raqqah, Syria,
Iangalie VIDEO yenyewe hapo chini,

Sept. 23: ISIL compound strike{Video}

No comments: