Wednesday, 3 September 2014

Picha,Jumba La Big Brother South Africa Laungua Moto,


M-Net na kampuni ya production ya Endemol wamethibitisha kuungua moto Kwa jumba la mashindano ya Big Brother Huko South Africa na kutoa taarifa kuwa mashindano haya yamehairishwa mpaka itakapotolewa taarifa zaidi. Hakuna mtu aliyeumia wala kupoteza maisha na mpaka sasa haijajulikana chanzo cha moto huo ni nini. M-Net na Endemol wameshaanza kutafuta jumba la kufanyia show ya mwaka huu na kutafuta vifaa vipya baada ya camera na editing instruments za Jumba hilo kuungua moto.

No comments:

Post a Comment