Thursday, 4 September 2014

Wema sepetu azungumzia ishu ya yeye kuajiriwa na kajala.Na Ishu ya Mpenzi wake{Diamond} kutoka na mtu mwingine

Wema Sepetu

Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilizizima kwa stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema ameweza kupatikana na kakubali kuongelea issue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala. Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm, Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’ Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’ Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu>>’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali.
ISIKILIZE INTERVIEW YOTE HAPO CHINI,

No comments: