Mzazi mwenza wa Mh,Joseph Mbilinyi{Mbunge} amemjia juu kwa kumpa makavu ya maana msanii wa zamani wa Filamu nchini Christina Manongi"Sinta" kwa madai binafsi kama alivyonyumbulisha Fianse huyo wa Mh, Bi Faiza Ally........Fuatilia mwenyewe hapo chini,
SINTAH...
wewe Kama huna habari za maana Kama blog zingine zenye maana bora utafute kazi nyingine ya kufanya kuliko kugeuka mshauri kwenye maisha ya watu wasio kutambua wewe ni nani ktk maisha yao ! Ungekua mshauri mzuri ungejishauri vizuri toka enzi ya ustaa wako mpaka leo umefanya nini na umefika wapi katika maisha yako na una nini mpaka leo na ninani katika jamani na una Faida gani ??? SASA Nasema hivi ninano posti chochote najirizisha mimi hapa na naishi kwa ajili yangu sio kwa kuomba ushauri wako au mwingine yoyote! Najua unatafuta kiki kwa sababu umeshapotoza una tafuta namna ya kujitokeza tena ... Wewe umesha pitwa na wakati mambo unayo yataka tena haya wezakani kwa Sasa tafuta muelekeo na utu uzima ndio huo unapiga hodi LABDA nikwambie tu kitu nikitaka ushauri nitatafuta mtu anae jielewa Lkn sio wewe ... Sasa nakwambia hivi wewe na walio comment wote mamburula tu ... Kama umekerwa sana nitafute live sio kunirusha kwenye ki blog ushuzi chake kisicho kuwa na habari za maana sawa sawa ?!????
SINTAH...
![]() |
| sintah |


No comments:
Post a Comment