Thursday, 23 October 2014

MSANII DIAMOND PLATNUMZ ALIPOFIKA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA MAHOJIANO ZAIDI NA POLISI.

PICHA-MSANII DIAMOND PLATNUMZ ALIPOFIKA KITUONI OYSTERBAY POLICE KWA MAHOJIANO ZAIDI JUU YA UTUMIAJI WA SARE ZA JESHI LA WANANCHI{JWTZ},
KUFUATIA TUKIO HILO MENEJA WAKE BABU TALE NAYE ALISHIKILIWA KWA MUDA KWA MAHOJIANO JUU YA UHALALI WA MSANII WAKE KUTUMIA SARE HIZO KWENYE SHOW YA KILELE CHA TAMASHA LA FIESTA,
KATIKA MSAFARA WAKE DIAMOND ALIAMBATANA NA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI Bw,CHIEF KIUMBE PAMOJA NA MADANSA WAKE .
Msanii Diamond na timu yake ya Wasafi wakiingia ndani ya kituo cha polisi Oysterbay kwa mahojiano na polisi juu ya sakata la kutumia sare za jeshi la wananchi{JWTZ},katika mwenye shati jeupe ni Chief Kiumbe,aliyemsindikiza kituoni hapo.







No comments: