Wednesday, 29 October 2014

NAY WAMITEGO AYAINGIA RASMI MAISHA YA UBABA.

Mtoto wa Nay Wamitego akiwa na Bibi yake.

Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua rasmi mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika:"Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama yangu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto wakiume… yani kazaliwa cku 1 na bibi yake,,!
Hao apo wamezaliwa leo… Asante Mungu.

No comments: