Asubuhi ya October 21 Tanzania zilianza kusambaa taarifa za msiba wa aliyekuwa member wa kundi la Tmk Wanaume Family Yp ambaye baadae Meneja wa kundi hilo Said Fella alizithibitisha kwa vyombo vya habari. Msiba upo maeneo ya Keko Magurumbasi A mahali anapoishi kaka yake Yp. John Amulike ambaye ni kaka wa marehemu Yp YP ameagwa kwenye viwanja vya TTC Club Chang’ombe kisha maziko yamefanyika kwenye makaburi ya Chang’ombe. Yp ameacha Mke na mtoto wa kiume mmoja mwenye umri wa miaka 7.
RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS. FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.

Wednesday, 22 October 2014
PICHA-MSANII YP{WANAUME TMK}JINSI ALIVYOZIKWA RASMI LEO MAKABURI YA CHANG'OMBE-TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM.
Asubuhi ya October 21 Tanzania zilianza kusambaa taarifa za msiba wa aliyekuwa member wa kundi la Tmk Wanaume Family Yp ambaye baadae Meneja wa kundi hilo Said Fella alizithibitisha kwa vyombo vya habari. Msiba upo maeneo ya Keko Magurumbasi A mahali anapoishi kaka yake Yp. John Amulike ambaye ni kaka wa marehemu Yp YP ameagwa kwenye viwanja vya TTC Club Chang’ombe kisha maziko yamefanyika kwenye makaburi ya Chang’ombe. Yp ameacha Mke na mtoto wa kiume mmoja mwenye umri wa miaka 7.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment